Msichana: Acha kung'ang'ania asiyekupenda utakondesha moyo

Hii si kwa wasichana tu ila hata kwa wavulana mkuu. Heshimu sana hisia za mtu anayekupenda.

Ukitaka kuona heshima ya hisia za mtu basi ombea mtu unayempenda sana siku ukute sms akiwa na mwanaume mwingine, hapo ndio utajua muda mwingine maumivu ya mapenzi yanafanana na msiba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom