Bado sijapata mtu wakumuamini kuorder kwake na kwa upande wangu sijawahi kuorder kitu online maana naogopa sana matapeli kwa kitu cha gharama..Pesa sio tatizo trust ndio tatizo

Sio kwajili ya gaming..kutafta kwangu laptop itakayokidhi maitaji yangu nimeona hii ndio itanifaa kwa kazi ngumu na budget yangu ilikuwa 2.5-3m not 5m nikipata kwa hiyo bei itakuwa poa

Yap ni kweli maana unaweza lipia ela nyingi kwa features ambazo huwezi hata tumia eg 4K wakat mostly utakua una max na 1080, na vyote hivi vina ++++++$$$$$$$. angeweka kusudio la matumizi ingekua poa zaidi.