MSHAIRI NGULI HAJI GORA ANAPOZINDULIWA NA MWANDISHI BINGWA MH. ALLY SALEH MBUNGE WA MALINDI
MWALIKO WA UZINDUZI WA KITABU
Finally Inshallah kitabu cha MAISHA YA HAJI GORA kilichoandikwa na Alhakir Ally Saleh kitazinduliwa July 13, 2016 hapo 236 Hurunzi Hotel saa 10 jioni.
Mnaalikwa...
Ally Saleh na Mwandishi Dar es Salaam
Inakuwa tabu sana kuwaandika mabingwa wawili katika kurasa hiyo hiyo moja.
Mwandishi wa kitabu
Ally Saleh ni maarufu.
Kalamu yake nani asieijua?
Halikadhalika
Haji ''Kimbunga'' Gora, nani asiyezijua beti na tungo zake?
Leo hii Jumatano kama mwaliko unavyoonyesha hapo juu
Ally Saleh
In Shaallah anazindua kitabu cha mshairi nguli
Haji Gora.
Mabingwa hawa wote wawili si wageni kwa mwandishi kama picha
hizo hapo juu zinavyobainisha.
Fuatilia ukurasa huu baada ya uzinduzi wa kitabu...