okyo
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,003
- 1,507
Pole sana lakini wengi hujiona wajanja chukua x za wenzaoCheka tu lakini sisi ndio yametukuta.
Pole sana lakini wengi hujiona wajanja chukua x za wenzaoCheka tu lakini sisi ndio yametukuta.
Shemej,Kwa Ambaye Hajamuelewa, Tangazo lake ni hilo hapo.....
Ni kweli nampenda lakini naogopa na nataka nimchunguze vya kutosha na inaonekana na heartbroken so ni kazi kidgo ipoHuyo mtu unampenda? Ama ndio unatamani kuwa naye sababu he's lovely&mtanashati?
Ila mi nakushauri kama utaweza kujitahidi jitahidi tu kuwa alone hawa divorced wa kibongo bongo utajitafutia matatizo mengine makubwa tu
Naamini soon utapata ambaye hajawahi kuoa
Pambana
Asante DiaChekecha akili mamito wala usiwe na presha. Pili kama wakati wa kuonana mnaongea vya kutosha usiwe na wasi wasi mawasiliano ya simu yakiwa machache,bora huyo kakuonyesha mapema tabia hio,wapo wengine wanaificha tabia hio mpaka wakunase ndio tabia inajitokeza.
Nahisi nampendaHuyo mtu unampenda? Ama ndio unatamani kuwa naye sababu he's lovely&mtanashati?
Ila mi nakushauri kama utaweza kujitahidi jitahidi tu kuwa alone hawa divorced wa kibongo bongo utajitafutia matatizo mengine makubwa tu
Naamini soon utapata ambaye hajawahi kuoa
Pambana
Kurudiana na mkewe ni haipo kabisa.Jpe time ya kufkiria uskurupuke tu kama
Unarauka kitandan asubuh
Hapo unaingia kwny mahusiano na unampenda
Swal la kujiuliza kwako
Je nae anakupenda
Je n kwann aliachana
Na mke wake
La cvyo utajajikuta umekua
Mchepuko na jamaaa
Amerudiana na mkewe
Heartbroken wewe ama yeye?Ni kweli nampenda lakini naogopa na nataka nimchunguze vya kutosha na inaonekana na heartbroken so ni kazi kidgo ipo
Sawa shem, ngoja nile batiShemej,
Funika kombe....... biashara matangazo
Mmmm miezi 6 tu ndoa imesha vunjika? Hapo kuna tatizo kubwaa limejificha chamsingi fanya uchungizi ili ujue mwenye hilo tatizo kubwaaa ni huyo jamaa au x wake, peleleza kupitia marafiki zake na majirani pia ila bila wao kujua lengo lako. USIKURUPUKE!habar zenu wakuu
Ni jumapili nyingine tulivu nikiwa nimejilaza ghafla nimeshtuka naanza kumuwazia kijana mmoja ambaye alinitokea kama mwaka mmoja na nusu uliopita ni mfanyakazi katka wizara moja nyeti jirani na ofisini kwetu
kipindi nakutana nae alikuwa na matatizo na mke wake akaniaproch nikamwambia nina mtu.basi tukawa kama marafiki mawasiliano yakaendelea japo haikuwa kivile mara chache akinieleza matatizo na mkewe na bla bla me nikawa namshauri asiachane na mkewe avumilie yatapita.
mwishoni mwa dec.mwaka jana akanitext wametalikiana. nikamwambia its fine ni maisha yenu. ikaishia hapo.
Nikiwa katika wakati huu ambao nimeachana na mwanaume wangu km two weeks ago nilikutana nae sehemu hatukuwa tumepanga tukasalimiana na stor mbili tatu akaniomba tuonane tuongee
( of course nilikuwa bored siku hiyo tukatoka ilikuwa jioni) tukakaa sehem tukaongeaaa the guy anadai ananipenda sana anataka tuwe wote nikamwambia nitamjibu.
Ukweli ni kwamba yuko so lovely,mtanashati educated yani ni mwanaume ambaye kila mwanamke akimuona atatamani kuwa nae mo than my x lakini kitu kimoja tu tukiwasilia
na kwenye simu hana maneno mengi, yan ni salam asubuhi, jioni na usiku mwema
(sijui ndivyo alivyo au ni kutokana na mazingra ya kaz yake au ni nini)Ila tukionana ataongea yote the way ananifil na nini na nini anafunguka.
sijampa jibu lakini nawaza sana huu ukimya wake ntawezana nae, nini kilisababisha waachane na mke ndani ya ndoa ya miezi 6?
kukaa more that 10hrs bila kuwasiliana na mtu nayempenda nitaweza?
Ama nakurupuka?
Matusi Hayatanijenga
kama unao ushauri nisaidie nipo njia panda natamani niwe na mtu kuwa alon kunaumiza sana,
Kuna ushauri na tangazo, sasa hili lako ni tangazo na unatakiwa ulilipie, sawa???nyie ndo mnasababisha watu tuogopaga kuomba ushaur humu
Huyo mtu unampenda? Ama ndio unatamani kuwa naye sababu he's lovely&mtanashati?
Ila mi nakushauri kama utaweza kujitahidi jitahidi tu kuwa alone hawa divorced wa kibongo bongo utajitafutia matatizo mengine makubwa tu
Naamini soon utapata ambaye hajawahi kuoa
Pambana
Ni kweli nampenda lakini naogopa na nataka nimchunguze vya kutosha na inaonekana na heartbroken so ni kazi kidgo ipo
Heartbroken wewe ama yeye?
Mmh!Yeye
Dah .... Hakuna cha kumchunguza mambo yake ya mapenzi ya nyuma wala nini.... Labda ujihakikishie tu hahusiani na ngada kwa namna yoyote ile....Nahisi kumpenda lakini naogopa sana nisije nikajakuzama yakanitokea kama yaliyotokea..moyo wa mtu kweli kichaka