Habari za mihangaiko ndugu zangu.
Naombeni msaada wenu ndugu zangu kwenye kajishamba changu ninavibwawa viwili nahitaji kuweka samaki, moja niweke kambale na jingine niweke sato, hivyo naomba kupata taharifa ya wapi nitapata vifaranga na bei zake, mimi nipo Dar but shamba lipo Rufiji.
Asanteni na mwenyezi Mungu awabariki.