Msaada wa vitabu

Maria Nyedetse

JF-Expert Member
Apr 24, 2021
657
1,492
Habari za asubuhi wanajamvi,

Samahani naomba mwenye vitabu hivi PDF anisaidie tafadhali
1. Rich Dad Poor Dad
2. Why A students Work for C students
3. Cash Flow Quadrant

Vitabu vyote hivi vimeandikwa na mwandishi Robert Kiyosaki. Kama kuna vitabu vingine mfano wake pia itakuwa vizuri
 
Attachments

  • Why A Students Work for C Students and Why B Students Work for the Government Rich Dads Guide ...pdf
    3.3 MB · Views: 62
  • Rich Dad, Poor Dad What the Rich Teach Their Kids About Money--That the Poor and Middle Class ...pdf
    777.5 KB · Views: 61
Nani anacho hiki?
the-art-of-trading-refined.jpg
 
Back
Top Bottom