Msaada wa Tv flat screen bajeti 200k

Msumb

JF-Expert Member
Oct 18, 2022
3,369
5,234
Wakuu habari za humu, naomba msaada wa kutajiwa TVs bland nzuri kwa bei ya laki mbili mwisho ndo bajeti yangu, nipate tv flat inayoendana na hela yangu, natanguliza shukrani 🙏🙏
 
Kwa bajeti hiyo utapata hizi za kawaida brand za kichina nyingi, ila kwa brands kama LG, SAMSUNG, TCL, HISENSE, XIAOMI n.k kidogo ni mtihani labda uchukue kwa mtu mwenye shida na hela au maduka wanaouza used, ngoja waje wakuelekeze machimbo ya kupata hitaji lako bablai..
 
Poa poa,
 
Ailyons frameless 32” 200,000
Ailyons Double screen 32” 200,000
Zunne Double Screen 32@ 200,0000

Tupo Kkoo
Msimbazi

0714883861
 
  • Thanks
Reactions: PYD

Similar Discussions

Back
Top Bottom