Msaada wa shule ya Advance

leprincess

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
282
450
Habar wakuu.Naomba kufahamishwa shule ya Advance yenye Ada chini ya milion(kumwezesha mtoto wa mkulima Wa jembe la mkono kumudu Ada)Boys /mchanganyiko.Mchepuo sanaa.
Asante.
 
Kama upo dar nenda mbezi beach high school ni shule nzur sana kwa mkoa wa dar tena ada aijafika milion ila mtoto unatakiwa Usome sana no 45 no form six ina walimu wazuri sana yani ni wewe mtoto tu ndo ufeli
 
Ok kama ana C3 na D2 anaweza kupangiwa ..........anasoma masomo gan biashara sayansi au arts pia usimpeleke tuu kwa sabab ni bei poa unaweza poteza na yy akapoteza mda pia
Upo mkoa gan au atasoma popote
Ana c tatu (Hist, kisw &Bios) inshort kasoma masomo yote ya arts na sayans ambapo chem D,phy D,Bios C,Agr D,&Math F(kwa upande wa sayans) kwa arts Civ. D,Hist C,Geog D,kisw C,
 
Naomba kuuliza mtoto wangu amepata DIV III ya point 25 anataka kwenda HGL lakini ana D History, D Geography na B English nahisi govt school hata pata je anaqualify kwa private school? na shule zipi nzuri za boys
 
Arusha mpele edmund rice au star high school au tengeru boys kwa mosh kuna majengo au bendeli memorial nothern highland au seminar kwa maeneo mengine cjui mkuu
Kwa matokeo haya anapokelewa advance?English c,history c,geography d,civics d,kiswahili d biology na math kapata f
 
Kwa matokeo haya anapokelewa advance?English c,history c,geography d,civics d,kiswahili d biology na math kapata f
Hapokelewi coz ajafikia c tatu .mpeleke certificate tena wahi march in take ili asipoteze muda mwaka huu aingie diploma one mwezi November
 
Habar wakuu.Naomba kufahamishwa shule ya Advance yenye Ada chini ya milion(kumwezesha mtoto wa mkulima Wa jembe la mkono kumudu Ada)Boys /mchanganyiko.Mchepuo sanaa.
Asante.
Kumbuka ndalichako anakutazama tu unavyohangaika na private kasheshe ipo chuo hampi mkopo huyo atajisomesha mwenyewe
 
Hapokelewi coz ajafikia c tatu .mpeleke certificate tena wahi march in take ili asipoteze muda mwaka huu aingie diploma one mwezi November
Naskia kama akianzia certificate mwisho ni diploma tu hawafikii mpaka degree,je ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…