yongpal
Member
- Oct 17, 2017
- 38
- 14
Habarini za mida ndugu zangu ,, tumaini langu haujambo na mnaendelea vyema na utendaji Wa ujenzi Wa taifa letu . wakuu naomba kuuliza juu ya hizi kozi mbili za afya ambayo ni clinical medicine na nursing and midwifery , kwan kuna utata nakuona kupitia guidebook ya 2018/2019 qualifications za clinical medicine ni D flat kwa physics chemistry biology na English na unaapply diploma while kwa nursing ni C mbili ya biology na chemistry na D physics na English swali langu he kwann serikal imepandisha qualifications za uuguz kuliko CO na lengo lao ni nn hasa kufanya hivi na uuguzi unataka kupanda hadi kuliko medicine au nn kipo ndan hapa msaada jmn