Msaada kwa wanaojua series za kikorea kali zaid nikimaanisha nzuri zaid ila na pendelea zziwe za mjini zisizo za action au history most na prefer za romance , fantasy, melody and comedy au medical drama pia napendelea drama za mijini sio kijijini naomba mnitajie majina kwa wanaozifahamu