Nenda msikiti ambao shekh wake alifungisha ndoa yako upate maelekezo. Nachojua Mimi serikali inatoa vyeti kutegemea na unapofungia ndoa, so wewe utapewa cheti kupitia ndoa ya kidini.Naomba kujua namna au utaratbu wa kupata cheti cha ndoa kile ambacho kinatambulika serikalini..mimi ninacho kile cha BAKWATA niliende RITA wakasema niende BAKWATA sasa kwa mwenye kujua utaratibu wao aniambie.
Nenda msikiti ambao shekh wake alifungisha ndoa yako upate maelekezo. Nachojua Mimi serikali inatoa vyeti kutegemea na unapofungia ndoa, so wewe utapewa cheti kupitia ndoa ya kidini.
Huko huko msikitini kaulize ukienda Rita wao hawafungishi ndoa na wilayani wewe hujafunga ndoa ya kiserikali