Habari wakuu
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyouliza.
Kuna website nikifungua kupitia simu yangu naweza kukopi text lakini Kuna website zingine siwezi kukopi.
Nafahamu baadhi ya website wanafunga usiweze kukopi text. Kwenye PC upande wangu naweza kukopi hata Kwa website zilizozuia kukopi.
Lakini Kwa upande wa Smartphone nimekwama. Kwa yeyote mwenye ufahamu naomba maelekezo.
Natumia browser ya Google chrome.