Msaada wa kukopi text katika Website ndani Android

Do santos

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
635
338
Habari wakuu
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyouliza.

Kuna website nikifungua kupitia simu yangu naweza kukopi text lakini Kuna website zingine siwezi kukopi.

Nafahamu baadhi ya website wanafunga usiweze kukopi text. Kwenye PC upande wangu naweza kukopi hata Kwa website zilizozuia kukopi.

Lakini Kwa upande wa Smartphone nimekwama. Kwa yeyote mwenye ufahamu naomba maelekezo.

Natumia browser ya Google chrome.
 
Ukiona hivyo ujue hiyo website ina mfumo flani wa kuzuia kucopy vitu kwao ila wajanja huwa wana mbinu zao wanacopy tu
 
Ni kweli na ndio maana nataka nami niweze kukopi Kwa maelekezo ya wanaojua, haswa Kwa kutumia smartphone za mfumo wa Android
 
Back
Top Bottom