Msaada wa haya matokeo ya mtihani

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
1,427
1,581
Salaam, naomba kuuliza kwa huyu mwanafunzi aliyemaliza form 6 na matokeo haya, History D Geography C Language S, hivi anaweza kuendelea kusomea chuo cha namna gani na kozi ipi itaendana na hayo masomo?

Natanguliza wingi wa shukrani, usiku mwema wajameni.
 
Aende vyuo vya watendaji wa mitaa utanishukuru badae ivo vyuo vinatoa ajira na akipata kuna hela huko si tamisemi ya mama iyo n kujipigia tu
 
Km sio Ualimu, bas aende Maendeleo ya jamii, huko atapata ahueni.
 
Back
Top Bottom