Kwa anaejua mambo ya research report kuna kitu kidogo sana nimekwama and nahitaji msaada wa haraka sana,najua experts hamtashindwa hili.
Anaejua aniambie nimfate pm.
Uandishi wa REPORT WRITTING hutofautiana kati ya chuo kimoja na kingine Mf. Utakuta kipengele fulani MAKUMIRA kipo lakini MWENGE hakipo nk. Kwa hiyo kuwa makini kwa kufuata mwongozo husika.