Msaada wa frem ya biashara

tifa

Member
Apr 19, 2011
53
5
natafuta Frem ya biashara maeneo
yafuatayo.
- tegeta
- Mwenge


Sifa zinazotakiwa, iwe inatazama barabara kuu
za mtaa au kwenye mkusanyiko wa watu wa
kutosha kuvutia biashara.
Mwenye kuwa nayo au kujua fremu hiyo ilipo
anijulishe kupitia realtifa20012@gmail. com

Na kama nitampata dalali ntashukuru sana.
 
Kwa ajili ya biashara gani!! Kuna moja ipo K'ndon shamba.. Mtaa umejaa watu sana kama biashara ya duka utauza sana. Bei elfu 60 kwa mwezi
 
Asante manka nahitaji kwa ajili ya biashara ya duka la nguo
 
Back
Top Bottom