Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,660
- 58,999
nhif bei yao kwa mtu binafsi n ngapiNssf ndio kimeo, NHIF bado wapo vizuri tu hakuna matata.
nhif bei yao kwa mtu binafsi n ngapiNssf ndio kimeo, NHIF bado wapo vizuri tu hakuna matata.
Nenda kwenye ofisi ya NHIF yoyote iliyokaribu nawe ukajiunge,wanakusubiri kwa hamu,kula hiyo.Wandugu habari zenu, nisaidieni namna au taratibu za kujiunga na mfuko wa Bima ya afya nianzie wapi ,mimi nimeajiliwa kampuni binafsi... asanteni
NHIF ni 1.5m per year. Mifuko mingine unapata hadi 174.000Duh! AAR hao si ni private je ada zao itakuaje?
Jubilee na Resolutionnaomba tena kurudia kuuliza hili swali..
hu ni mwezi wa nane mwaka 2017/. insurance gani ya afya ni nzuri? na yenye bei nzuri? affordable
Nipe link
Golden Tulip????nenda kajiunge na PSPF mm niko huko ukijiunga na hao watakurahisishia kupata mfuko wa bima kwa kupitia hao utakuwa umewekwa kwenye NHIF kupitia hao cha kufanya unajaza fomu zao kama mwanachama wao na unapata hata mikopo toka kwao na mafao mengi tu watembelee wako jengo lao la GOLDEN TULIP pale posta orofa ya 4
Ila kuna kipindi AICC na OLD ARUSHA walisitisha kufanya nao kazi kwa mda usiopungua miezi tisa ila sahivi nathan wamerudisha.Asante sana mimi pia NHIF haijawahi niangusha only nilijichanganya nikaenda hospital ya Mama Ngoma kupima only laria ndipo wakaona sina kitu nikaandikiwa panadol, dirishani wakaniambia tunakupa za kuhesabu nikaomba za bilsta wakaniambia coz is a bima sharti nichukue za kupima.... sidhani kama nitarudi pale tena... though nilijasikia kumbe ni kwa ajili ya saratani if kweli
Mbona PSPF hawaonyeshi kama wanatoa fao la afya?nenda kajiunge na PSPF mm niko huko ukijiunga na hao watakurahisishia kupata mfuko wa bima kwa kupitia hao utakuwa umewekwa kwenye NHIF kupitia hao cha kufanya unajaza fomu zao kama mwanachama wao na unapata hata mikopo toka kwao na mafao mengi tu watembelee wako jengo lao la GOLDEN TULIP pale posta orofa ya 4
Wandugu habari zenu, nisaidieni namna au taratibu za kujiunga na mfuko wa Bima ya afya nianzie wapi ,mimi nimeajiliwa kampuni binafsi... asanteni
Mnaendeleaje wakuu?
Naomba msaada nataka kukata Bima ya Afya, yangu binafsi ya bei rahisi,mfano wa bima ya mtu asiyeajiriwa na ofisi yoyote.
Naomba mnisaidie nitaipata wapi na nitaipataje?Na mnisaidie ni makampuni gani yanayotoa Bima za Afya
mm nipo kilimanjaroWandugu habari zenu, nisaidieni namna au taratibu za kujiunga na mfuko wa Bima ya afya nianzie wapi ,mimi nimeajiliwa kampuni binafsi... asanteni
Nimesikia tangazo la Covenant Bank kuhusiana na bima ya AAR. Ukijiunga na Covenant bank then unapewa na bima ya AAR ambayo utalipia elfu 1 per day na mnapewa kama familia (siko sure zaidi ila naomba ufatilie na benki hiyo na watakuambia mengi)