Hossam JF-Expert Member Feb 10, 2011 3,542 2,165 Apr 23, 2017 #1 Heshima mbele. Wakuu naomba mwenye link au copy ya vitabu hivi, 1. Kivuli Kinaishi 2. Nagona 3. Hekaheka 4. Maajabu yaliyomkuta Allan Quaterman 5. Mashimo ya Mfalme Suleiman 6. Kusadikika Amani kwenu. Pangu Pakavu.
Heshima mbele. Wakuu naomba mwenye link au copy ya vitabu hivi, 1. Kivuli Kinaishi 2. Nagona 3. Hekaheka 4. Maajabu yaliyomkuta Allan Quaterman 5. Mashimo ya Mfalme Suleiman 6. Kusadikika Amani kwenu. Pangu Pakavu.