Msaada: Tablet yenye Microsoft Windows

WAKU-GOOGLE

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
950
623
Wakuu naomba msaada nahitaji kununua tablet yenye OS ya microsoft windows ambayo nitaweza install applications za computer kama kawaida na iwe touchscreen.

Nasubiri michango yenu wana Jamii,
Thanks.
 
Hp Elitepad ndiyo hasa itakufaa Mkuu.Inaingia Windows 8.1 na unaweza kuistall app zote zilizo compatible na Windows
Specs zake ni hizi
-Intel atom dual core processor
-Hdd 60gb
-Ram 2gb
 
Budget yangu ni laki 6 wakuu
una laptop? maana tablet za laki 8 kushuka za windows zinatumia atom na hazina nguvu sana ni za kufanyia mambo madogo tu.

kwa ambazo ni maarufu zinapatikana hapa bongo ni asus transformer T100 na acer aspire switch.

sema hizi ni 2 in 1

kama unataka tablet kabisa ambayo haina hata keyboard zipo kama dell venue 8 pro, toshiba encore, asus vivotab, lenovo miix etc

hizo transformer ukicheki zoomtanzania na site nyengine za online zilo kibao unaweza wapigia simu ukanunua kwao mfano hii kwa 570,000

Computers for Sale in Tanzania | ZoomTanzania
 
Nashukuru kwa mchango wako, laptop ninayo nahitaji tablet ambayo itakuwa mbadala wa laptop kwa ajili ya urahisi katika kubeba. Pia nahitaji iwe na stylus i.e ile pen ya kuandikia.
 
Nashukuru kwa mchango wako, laptop ninayo nahitaji tablet ambayo itakuwa mbadala wa laptop kwa ajili ya urahisi katika kubeba. Pia nahitaji iwe na stylus i.e ile pen ya kuandikia.
urahisi wa kubeba na kalamu kuna za 8 inch kama vile

-asus vivotab 8
-toshiba encore 2
-lenovo miix 8
-HP envy 8
-dell venue 8 pro

hakikisha ni version ya angalau 2Gb ram maana zipo za 1Gb na storage ukikosa kabisa ni 32Gb ila ni vyema iwe 64GB.
 
Microsoft surfcabce products huenda zikakufaa
Kuna surfacr 1,2 na sasa kuna surface pro 3 amd 4
Angalia amount yako inaweza kununua ipi kati ya hizo
 
urahisi wa kubeba na kalamu kuna za 8 inch kama vile

-asus vivotab 8
-toshiba encore 2
-lenovo miix 8
-HP envy 8
-dell venue 8 pro

hakikisha ni version ya angalau 2Gb ram maana zipo za 1Gb na storage ukikosa kabisa ni 32Gb ila ni vyema iwe 64GB.
Nashukuru na bei zake zime range vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…