Wakuu habari,gari yangu aina ya spacio new model inasumbua,inakosa nguvu kabisa hasa engine ikipoa yaani ukiziima kwa muda mrefu alafu ukija kuiwasha inasumbua kwa kuwa inakuwa haina nguvu kabisa hata kigingi kidogo tu cha mlima kinashindwa kupanda
Lakini engine ikipata joto huwa inakuwa na nguvu kiasi na inaweza kwenda,pia inachelewa sana kuchanganya pindi unapoendesha na tatu la mwisho ni kuwa kwenye milima inakuwa haina nguvu mara mbili yaani kama mlima ni mkali inakuwa haina nguvu ya kuupanda kuna muda hufika mpaka spidi kumi, naombeni ushauri tatizo linaweza kuwa nini na tiba yake ni ipi?