Msaada: Simu yangu imegoma kutoa rock kwa kutumia fingerprint

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,237
3,855
Wakuu kwa mwenye uwezo na tatizo nililotaja hapo anisaidie simu yangu ni ifinix note 8i imegoma gafla kutumia kidole

Hata mfumo wa kuiset umepotea namanisha hakuna sehem palipoandikwa fingerprint nilipokua natumia zamani,

asanteni

yudaexalioth
jamiiforums
geita
View attachment 2217792
 
UKIONA HIVYO HUENDA IKAWA TATIZO LA HARDWARE, KAWACHEK MAFUNDI HUWA WANAZIBADILI
 
Mara zote kutoa rock huwa haiwezekani,lock ndio inawezekana kutoa.
Unamaanisha nini maana hakuna sehemu ya fingerprint kwenye simu yangu imepotea siioni
Screenshot_20220509-110633.jpg
 
Ingia settings_apps_all apps_ fingerprint _enable/update.

Ikigoma, zima simu kisha iwashe

Ikikataa na hapo, ingia kwenye system update kisha download updates halafu install
Infinix wawe na system update?
 
Sensor ipo ubavuni na sjabadili hardware
Simu yako haikuonyeshi hata hiyo option ya finger print kwakua hakuna mawasiliano kati ya hardware na operating system ya simu.

Sababu zinaweza kua ni mkanda wa sensa kuchomoka au kulegea, ingekua option ya fingerprint ipo ila sense hakuna ingekua hapo tatizo lipo kwenye sensor.

Kuna member anasema update system. Sasa hata kama shida ni update bado haikutakiwa kukunyima finger print.

Naungana na aliyesema mkanda una tatizo. Nenda kwa fundi
 
Kuna muda unaweza kudisable application bila kujua.
 
Back
Top Bottom