Msaada: Nimetoka damu kidogo kuliko ya hedhi japo mimi ni mjamzito

Finest

Member
Mar 27, 2015
49
14
Msaada plzzz leo nimetoka damu kidogo sana kama hedhi hivi na ni mjamzito mwezi mmoja na Wiki mbili.Msaada plzzzz!!!!
 
Wahi hospitali kamuone daktari atakusaidia
Nina experience ya wife nae ilimtokea hivi akawahi hospitali kuna vidonge alipewa
Na vilimsaidia...pole sana ndugu yangu
 
Hiyo hali huwa inatokea wajawazito wengi hasa katika kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo,ila kama ukiona inaongezeka na hali kuwa mbaya zaidi inaweza kuwa dalili mbaya ambayo inataweza kupelekea abortion.......
Pia inaweza kuwa dalili ya kitu kinaitwa placenta praevia.*

Nakushauri wahi hospital haraka mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…