Ava Sancez
Member
- Jan 27, 2017
- 33
- 50
Ahsante kwa ushauri mzuri sana. Lakini labda kutokana na ugeni wangu humu nimeshindwa kujieleza vyema. Lengo langu nilitaka kujua mfumo wa written interview unakuwaje ni maswali ya field hiyo au ni generala knowledge?Interview ina lenga kumpima mtahiniwa uwezo wake physically mbali na CV aliyonayo. Suala la kuomba upewe maswali yanayoulizwa haina tofauti na wizi wa Mtihani. Isitoshe, hiyo ni Taasisi ya Elimu ya juu inahitajika mtu aliye competent, mwenye uwezo mzuri. Ni kupitia Interview hiyo ndipo anapatikana mtu sahihi zaidi. Any way, najua maelezo yangu hayo hayatakupendeza. Ngoja nikupe sasa ushauri bora kuliko huo wa kupewa maswali na kueleza huwa inakuaje.
Ushauri wenyewe ni huu; Kama interview ni kesho, basi hakikisha siku ya leo unakula chakula kizuri na maji ya kutosha, baada ya hapo lala mapema ili kesho uamke afya yako ikiwa njema. Kuanzia sasa Mkumbuke Muumba wetu, jaribu kuwasiliana naye kupitia SALA na umweleze haja yako. Kama ni mapenzi yake Muumba, yeye atakufunulia kila lililo jema na kukufanya mshindi katika haja yako.
Ukishafanikiwa na ukapata kazi usimsahau Muumba wetu. Endelea kujinyenyekeza kwake na usijione u mshindi tayari na kumsahau. Maana kuna watu walidhani wametoboa maisha baada ya kufanikiwa na kumsahau Muumba baadae wakaandamwa na magonjwa, misiba, hasara kazini n.k. Ni ushauri tu, unaweza kuukaubali au kuukataa. Ila Mungu atabaki kuwa Mungu. Ubarikiwe, na Interview njema.
Ahsante kwa ushauri mzuri sana. Lakini labda kutokana na ugeni wangu humu nimeshindwa kujieleza vyema. Lengo langu nilitaka kujua mfumo wa written interview unakuwaje ni maswali ya field hiyo au ni generala knowledge?
Ahsante sana, Mungu akubariki wewe na kizazi chako.Si vema kushukuru kwa kila jambo ni mtazamo, hisia mbaya pia zina uzuri wake, kuna vitu vingi mtu anaweza kupata lakini yote inatokana na vingi alivovikosa na kuviacha uko nyuma.
Written interview mara nyingi kama sio zote ina lenga technical parts(courses) ulizosoma darasani.
Hiyo pitia zaidi mambo uliyofubdishwa chuoni. Ingekuwa ni private ama taasis za kigeni mf .NGOS.....ningekushauri vingine.
Pia wapaswa kurudia kusoma tangazo la kazi kujua majukumu ya nafasi tajwa, pili ijue historia ama mission & vision ya chuo husika na administration structure kwa juuu juu tu ikiwezekana.
Tambua nafasi hiyo inalipwa mshahara kiasi gani pia ukiulizwa swali hilo usitaje kiwango exactly bali unataja range may be from 700-1.2m.
Zaidi maswali yafuatayo yanaweza kuulizwa katika oral interview
1. Why we should recruits you not any other
2. What's will you do with such posts at our university
3. What's your greatest achievement
4.what's are your weaknesses
5.what's are your strong area
5.How do you master your stresses
6.What's changes will u brings
,7. Have u ever did a mistake? What's was it ? What your learnt......
8. If you miss this post what will you do?........I will let myself dying
9. What's motivates people to do job?
Is there a difference between full half & half full? Job & work
Shukrani kwa maoni yako yenye kujenga.Unaandika lugha ya Kiswahili kwa ufasaha kabisa na wakati ni jambo gumu kwa wahitimu wa siku hizi. Inaonekana una akili.
Utafaulu na kazi utapata.
Ubarikiwe kwa muongozo wako.Written interview ni very general, jaribu kupata taarifa mbalimbali kuhusu utendaji wa serikali(ni chuo cha serikali so i guess maswali yanaweza kutoka huko poa) huko, fahamu mambo mbalimbali kuhusu chuo hiko na vyuo kwa ujumla, then ugusie pia eneo la HRM, baada ya hapo uingie kwenye chumba cha usahili kwa ujasiri!
Kwa hr cha msingi upitie company profile,ur CV, job description, pamoja, tools of hr (sheria za kaz na schemes of service": pia waweza kupitia vitabu na,yutube kuhusu job interview ambazo kimsingi wameelezea tips for preparation before,during and after! Nakutakia kila la kher!Mambo marafiki,
Mwaka jana Mzumbe University walitangaza nafasi katika kada mbalimbali, mimi niliomba Assistant Human Resource Officer. Hatimae jana nimepigiwa simu ili nijiandae kwa Written Interview mwezi ujao.
Naomba kwa wazoefu na wanaojua natakiwa kujiandaa kwa maswali gani na nitegemee mtihani wa namna gani?
Asanteni sana.....
Kwa hr cha msingi upitie company profile,ur CV, job description, pamoja, tools of hr (sheria za kaz na schemes of service": pia waweza kupitia vitabu na,yutube kuhusu job interview ambazo kimsingi wameelezea tips for preparation before,during and after! Nakutakia kila la kher![/QUOTE
Note review pia baadhi ya masomo hususani strategy managment,principle of mgt and hrm course! Ili uweze kumanage surprise
Ahsante sana nitafanyia kaziKwa hr cha msingi upitie company profile,ur CV, job description, pamoja, tools of hr (sheria za kaz na schemes of service": pia waweza kupitia vitabu na,yutube kuhusu job interview ambazo kimsingi wameelezea tips for preparation before,during and after! Nakutakia kila la kher!
Shukrani sanaHongera kwa kuitwa, kwa ninavyoijua Mzumbe kitendo cha kuitwa tu kwenye usaili una bahati sana lakini nakushauri ujipange sana maana Mzumbe wana interview ngumu sana kwa kukuuliza maswali ya uelewa kutokana na nafasi yako uliyoiomba mbaya zaidi unatakiwa ujue kuwa Mzumbe ni chuo kilicho specialize kwenye management kwa hiyo wana watu bora wa kutunga maswali ili kuhakikisha wanapata mtu bora atakaeendana na falsafa yao, kwa ufupi nakushauri ujipange sana ikiwezekana rudi darasani kwa muda soma mambo yote yanayohusiana na human resource management plus sheria za utumishi wa umma ili upate general knowledge kuhusiana na hayo maswala. Nakutakia maandalizi mema
Kuna uhusiano gani na nilichouliza mimi?No wonder Mzumbe inazalisha Vilazzza
Ahsante sanaInterview INA maswali yafuatayo
1:Maswali ya ufahamu mfano Introduce your self
2:Maswali ya Field yako yani ulicho some a
3:Maswali ya ki utumishi mfano kama serikalini
Kubwa kuliko yote Omba Mungu tu hi I ndio siri ya mafanikio yangu nilimuachia Mungu tu