Msaada: Nikitaka ku download Apps Playstore inaandika "Download pending"

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Wajuzi naomba msaada wa kuifanya Play store iweze kudownload kama kawaida.Play store imekuwa ikiandika download pending.
 
Ukiwa una download app zaidi ya moja playstore subiri moja imalize then inayofuata hiyo iliyokuwa pending.
 
Kutakuwa kuna apps znajidownload, Nenda kwenye my apps, then installed app angalia km kuna app znajidownload zistopishe then anza upya kudownload, au km ikishindikana clear data na cache.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…