Msaada: Nifanyaje nimfikishe kileleni?

Give her control kwny sex sio ww ndio unaonyesha maujuzi mwanzo mwisho bila kumpa nafasi nae, mwambie leo ww ndio unaendesha game basi atapata sehemu inayo mkuna sana na ww utajua ni wapi, mpe nafasi na mwangalie vizur utajua ni wapi panampa raha, mm wangu akiwa on top na kufanya yake anafika kileleni mapema lakin nikimkunja kunja anacheleaa sana
 
Mambo yetu yale ni sanaa kama sanaa nyingine, so inahitaji ubunifu wa hali ya juu.. Jitahidi kuwa mbunifu, michezo ya kutosha kabla ya kupanda mnazi, kama una pumzi za kuunga unga piga tizi la kutosha..
 
nlitaka nishauri nilivyosoma tu una kitambi nikakata tamaa! "Mwanaume mjinga atavunja ndoa yake kwa kitambi chake mwenyewe" utakuwa dakika 10 uko hoi wewe
 
Kula viazi.mihogo.ugali dona na samaki.karanga na maziwa mtindi kula wiki 1 kabla ujaenda kula mzigo sio unakula cku hiyohiyo unaenda kula mzigo ukienda na utaratibu huo haaaaa atakuuliza pia jitahidi kumuandaaaa Kwa muda sio dakika 2 tu unaaanza kula mzigo kijana acha haraka
 
asa

asante kwa ushauri mkuu
 
ndo nimeanza kula jana karanga dona na maziwa
 
nlitaka nishauri nilivyosoma tu una kitambi nikakata tamaa! "Mwanaume mjinga atavunja ndoa yake kwa kitambi chake mwenyewe" utakuwa dakika 10 uko hoi wewe
ndo nimeanza mazoezi leo asubuhi ili nikipunguze mkuu
 
nime
Mambo yetu yale ni sanaa kama sanaa nyingine, so inahitaji ubunifu wa hali ya juu.. Jitahidi kuwa mbunifu, michezo ya kutosha kabla ya kupanda mnazi, kama una pumzi za kuunga unga piga tizi la kutosha..
kama kawa mkuu ntakomaa hasamazoezi thnks kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom