WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,234
Stress hizo..ridhika na unachopata...ukifika home fanya kusahau yote!! jaribu pia kutengeneza mazingira mazuri kabla hamjaanza kugegedana!! Siyo unafika home uko chakari choka mbaya, baada ya menu tayari huyooo unaenda kulala unasubiri mkeo aje uparamie yaishe!!