Msaada nasumbuliwa na maumivu chini ya kifua upande wa kulia

life change

Member
Mar 6, 2017
7
1
Nimekuwa na sumbuliwa na maumivu chini ya kifua kwa muda mrefu, choo kuwa na marenda, kizungu zungu hadi kichefuchefu na nimetembelea hospitali nyingi hadi sanitarium.

Mara ya mwisho nilienda Kairuki nimepima Ultrasound, Echo,H-pyro, OGD kile cha kuingiza mpira kupitia mdomoni lakini vipimo vyote havikuonyesha kama na vidonda vya tumbo. Daktari akaniambia utakuwa na dalili za vidonda vya tumbo (gatistric acid hapa sina uhakika inavyoandikwa) nikapewa dawa nikashauriwa niwe nakula kwa wakati, vyakula vya mafuta nipunguze hata soda na maharage niache kutumia, nimejitahidi kufuata masharti lakini tatizo bado linaendelea.
 
Mkuu ulishapata suluhisho ya tatizo lako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla hujafika huko kote nakushauri upime Choo kwanza.

NB:upimaji wa choo kwa sehemu nyingi huwa haufanyiki ipasavyo, nakushauri majibu yako yalinganishe kupitia sehemu tatu tofauti ,nikiwa na maana uende hosptl tatu tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…