Msaada: Nasikitika kutangaza kupotelewa na begi lililokuwa na vyeti vya taaluma

psagala1

Senior Member
Feb 18, 2014
156
101
Ndugu,jamaa na marafiki naomba mnisaidie kutuma huu ujumbe kwenye sehemu zote mnazoweza ujumbe uwafikie watu wengi zaidi.....

HABARI
Jina langu ni PETER EMMANUEL SAGALA,
Nasikitika kutangaza kupotelewa na begi iliyokuwa na vyeti vya taaluma ambavyo ni;
1.Cheti cha chuo kikuu cha dar es salaam (udsm)
2.Transcript
3.Cheti cha Advanced Level (kigonsera high school)
4.Cheti cha Ordinary Level (makambako secondary school)

NAOMBA MSAADA NA USHIRIKIANO WAKO KUSAMBAZA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YOTE YA KIJAMII, KWA MAWASILIANO na TAARIFA ZAIDI NAMBA NI 0763585052, 0767402401, 0754710432
AHSANTE, MUNGU AKUBARIKI.
 
duuuhh pole sana mtaalam....nimewah kumbwa na tatzo kama hilo na nilivipata.....naamini utavipata..piaa
 
Onyo: Ni Malufuku Kutembea Na Vitambulisho Mf , Cha Kaz ,cha Kura , Cha Taifa , Kad Ya Benk , Pass Port Labda Uwe Unaenda Kuvifanyia Kazi Otherwise Scan Weka Kwenye Email Cku Upo Mbali Navyo Unaweza Ku Log In Ukaprint , La Pili Msiwe Mnatembea Na Vyet Og Vya Taaluma. Tembea Na Copy Tu
 
Kweli kabisa, inasaidia.
 
Back
Top Bottom