Msaada naomba kujua zaidi kuhusu dawa za kampuni ya Global Allience

The mission 2017

JF-Expert Member
Aug 14, 2017
1,303
2,413
Wakuu heshima kwenu,

Naomba kuuliza kama kuna member ana ushuhuda/uelewa ama experience na products (dawa) ambazo kampuni ya Global Allience huwa wanaziuza.

Je, Kuna mtu yeyote humu aliwai kutumia? Je , alisaidika ama kipi kilitokea?

Kiufupi nina mama yangu ana ROVU(uvimbe kwenye shingo) kwa miaka Kama 20 sasa, nilisikia ushuhuda wa mama mmoja kupona kwa dawa za hawa Allience in Global motion, kwa kua natamani kumsaidia mama I wish to buy one, ingawa zinagharama kweli.

Karibu, maoni yako nimuhimu sana.
 
mkuu pole sana ziku zote izo amna reply😓😓
 
Hawa watu sio wakweli dawa zao zimetengenezwa kwa matunda mara nyingi zinatumika kama kinga ila kutibu hazitibu kabisa

Nimepoteza pesa nyingi kwa uvimbe mama yangu alikuwa nao tumboni

Nikawa namnunulia dawa za alliance tena naagiza kutokea ufilipino

Lkn wapi zaidi ya laki 5
NAKUSHAURI MPELEKE HOSPITAL ZA RUFAA ...KAMA UNAMPENDA MAMA YAKO ACHANA NA HAO WAFANYA BIASHARA

Sent using i phone x
 
Back
Top Bottom