msaada namna ya kupga screenshoot ktk samsung galaxy grand2

pongwer

Senior Member
Mar 19, 2015
174
26
jamani natumia samsung galaxy grand 2(SM-G7102) naomba munielekeza namna ya kupiga screenshoot sababu hii nahisi kama kuna utofauti na hzo zingine nilizowah kutumia.....ahsanteni wapendwa!
 
Nenda Google uliza unawezaje kuscreen shot kwa hiyo simu yako? (Samsung Grand2) halafu soma maelekezo utakayopewa.
All the best.
 
Click power button na hom kwa pamoja au pangusa screen from right to left kama inahiyo function"
 
Click power button na home button kwa Mara moja for 2sec

Nami nashukulu jamani kwa muuliza swli na alie tufundisha ninayo grand prime miez sita sasa nilikiwa sijuw,ila kuna tatizo jingne ni bach button na ya option kushoto haziwaki mwanga hakuna nifanyeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…