Msaada - Nahitaji Kuagiza Tractor

Goodrich

JF-Expert Member
Jan 29, 2012
2,091
1,178
Wakuu,

Ninahitaji tractor kwa ajili ya kilimo.

Je, Aina gani ni imara ? Na Je, ni kampuni gani naweza kutumia kuagiza nje?

Nitashukuru kwa msaada
 
Chukua masseyferguson mzee kuhusu kampuni hata hizi za magari zina matrekta pia
 
Nadhi unaweza kuangalia ubora wa John Deer au New Holland.
 
Agiza tractor aina ya MASSEY FERGUSON 575 recondition nzuri kabisa kutoka Kampuni ya DUMELOW ya Uingereza. Ni tractor original kabisa yenye vifaa genuine na mwenye kampuni aliwahi kuwa Mwalimu wa SUA na ameoa dada yetu Mtanzania. Google tu DUMELOW TRACTORS na utaipata Kampuni, aina za matrekta na taratibu zote.
 
Nitashukuru kwa msaada[/QUOTE]
Nakukaribisha kwenye kampuni yetu:www.kalumbilo.online tutakuagizia kwa bei nafuu. Tractor zilizopo toka kwa washirika wetu ni pamoja na Massey, New Holland, Ford, Fiat, International, John Deere na kadhalika. Karibu ofisini kwetu Quality Plaza Dar es salaam au piga simu 0684-464-441 au facebook page yetu yenye jina Njoo Tukuagizie Gari
 
Kuna treka za ford zile chaka haramu sana pia John deer anakuja vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…