Msaada: Nahisi shemeji yenu anaona kila ninachofanya kwenye simu yangu

Acha kihelehele mkuu
Wewe unapenda kuchapiwa?
Huyo jamaa kafanya hivyo akiwa na lengo asichapiwe, wewe unakuja hapa unataka atoe hiyo app ili jamaa akachapiwe au?

Huyu mleta thread kama hana mambo mengi kwanini ahangaike kujua kama kadukuliwa? Si aache huyo jamaa yake aone tu

Wanaume tushirikiane, hawa wanawake ni hatari, wako ukiwepo… ukitoka ni wa mwingine
nawewe umedukua ya shemeji ee??
 
Suluhisho ni ku reset Simu yako tu.ili aweze kudukua mawasiliano yako ni lazima atakuwa ame install aina Fulani ya spy app.ukireset kila kitu kinafutika na pia ikibidi badili email baada ya kureset.
 
Kuna kudukuliwa MTU hapooo. Fanya backup kila kitu katika simu au hats external SD card then factory reset iyo simu... ....

Ila so sheria kudukua taarifa za MTU.. Wahi tcra kama una ushahidi
 
Mkuu nikweli lakini je vp m/mke na yeye akihack account au simu ya mumewe au mpenzi wake.???
 
kaka na madada wa IT njooni pls
Ame track cm yako kuna software ameweka ambayo yeye anapata taarifa zako kupitia computer cha kufanya nenda setting then apps then tizama programs zote zinazo fanya kazi hapo lazima utakuna na program inayo husiana na mobile Trace, au track ,au spy prog au jina lolote linalo fanana na udukuzi ukiikuta itoe. Coz mara nying huwezi kuzikuta kwenye wall apps huwa zinaondolewa ila kwenye apps lazima uione.

SMART PHONE KATIKA SWALA LA ULINZI NI ZERO KABISA KAMA UNATUINSHU TWAKO TWA RAFU BORA TAFUTA KATOCHI.
 
Za kushinda wana JF!

Nahisi shemeji yenu amefanya mavirigiza yake anaona every thing nnachofanya katika simuy mf.wasap, insta, fb n.k!

Kuna ndugu zake nimewasiliana nao kwa FB (family issues) na huwa hataki niwasiliane nao! Sasa naulizaaa je inawezekana ameona charting zetu? Na kama hajaona, Je nikijitoa kwenye Facebook anaweza akaja kuona au itakuwa haoni chochote?

Alishawahi kunambiaga eti yeye akikaa kule ofisini kwa kutumia laptop anaona kila kitu nnachofanya mimi!

Nashindwa kuelewa anaona....na ana siku ya pili leo hajaingia ofc! ndio maana naulizaa je siku akifika ofisini anaweza kuona hata kama nmedelete a.c yangu? Naombeni msaada.
Anaelewa password yako?
 
Yani mtu achepuke atumie line inayojulikana huyo si mwehu, kufatilia kitu haimaanishi hachepuki kuchepuka kuko pale pale
we jidanganye tu kama umeolewa kuwa tu na maadili kwa technology hakuna siri.
Ukitaka anayekufatilia asifanikiwe maybe urudi analogia paper works.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom