Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,916
- 11,269
Yani mtu achepuke atumie line inayojulikana huyo si mwehu, kufatilia kitu haimaanishi hachepuki kuchepuka kuko pale paleAcha kihelehele mkuu
Wewe unapenda kuchapiwa?
Huyo jamaa kafanya hivyo akiwa na lengo asichapiwe, wewe unakuja hapa unataka atoe hiyo app ili jamaa akachapiwe au?
Huyu mleta thread kama hana mambo mengi kwanini ahangaike kujua kama kadukuliwa? Si aache huyo jamaa yake aone tu
Wanaume tushirikiane, hawa wanawake ni hatari, wako ukiwepo… ukitoka ni wa mwingine