wakuu habari za muda.
Nina betri kubwa ya gari. Aina ya EXIDE volt 12 ( N150).Swali langu ni je hii betri nikiifungia solar panel itaweza kudumu pasipo kupoteza ubora wale?. Je kwa hiki kioo changu cha watt 40 kitaweza kuichaji hii betri ya N150. Je kama hakitaweza ni vema nikapata panel ya watt ngapi?