Screen mirroring, ila zoezi lako sjafahamu hali itakua vipiWakuu, Nina Smart tv hapa inch 32 ( Alitop ). Naomba kuelekezwa jinsi ya ku-connect simu na tv Ili nicheze game kwenye simu ila display ionyeshe kwenye tv.
NOTE: Tv ni Alitop , simu ni Infinix hot 20i