central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 209
Wakuu kwema? Pole na majukumu ya hapa na pale. Nahitaji msaada wenu.
Nlikuwa na account ya Instagram yenye 8K. Na bado ninayo.
Lakini nilikaa kimya sana kwa muda mrefu kidogo. Ni account ambayo ipo kimichezo zaidi.
Baada ya kurudi hewani bado nna followers wale wale 8K. Na zaidi.
Lakini cha ajabu kwa sasa nikipost chochote sipati comment na nikipata like hazizidi 10 (kumi)
Tatizo linaweza kuwa nini? Na nini ikifanyike ili account irejee kama awali. Like 700 comment mpaka 120.
Msaada kwa anaejua.