habari wadau kama mtakumbuka jana nilileta uzi kuhusu kutengenezewa application ya site yangu bt leo nimekomaa mwenyewe nimefanikiwa sasa naomba msaada mpya maana uchumi umeyumba naomba mwenye akaunti ya play store aniwekee app yangu iwe hewani msaada plz