Habari za jioni ndugu zangu, mimi ni kijana nina umri wa miaka 27 Nimemaliza degree yangu ya Taxation pale IFM, mwaka 2014 lakini hadi sasa naona changamoto ya ajira kwangu ni tatizo ukizingatia field niliyoisoma uwanja wake wa ajira ni TRA na sehemu zingine lakin chache sana.
Sasa nikawa na wazo la kujiendeleza kieleimu ili kupanua wigo wa kupata kazi,
Naomba mnishauri kuwa proffesiional gani ambazo/ambayo zina soko kubwa la ajira kwa sasa. Ili ikiwezekana nikasomee masters degree ya kozi hiyo.
Naombeni ushauri na kama Kuna mtu mwenye mtazamo mwingine naomba anishauri.
Ahsanteni