Habarini za jioni bandugu,ninaomba kufahamishwa mana ninataka kujiunga na open kwa kuanza na foundation coz,sasa je nikimaliza alaf nikajiunga na degree serikali itakubali kuja kuniajiri?na je nitakua sahihi kwa kumaliza foundation na kwenda degree moja kwa moja?.kwa sasa nina ka certificate kangu ka miaka 2