Msaada kuhusu Cloud storage

kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,427
1,993
habarini za muda huu wadau..
Nina shida nimekumbana nayo kuhusu upatikanaji Wa files mbalimbali nilizozihifadhi katika cloud storage. Kila nikiingia kwenye email yangu kuangalia nilichokiifadhi i e mafaili...siyaoni kabisa.
Naombeni msaada Wa jinsi ya kuyapata
 
Mafile kama yapi na simu gani unatumia
 
Kama sisi windows tunatumia OneDrive. Fungus hio utaona files
 
UNAWEZA TUMIA DROPBOX ATA ONEDRIVE DOWNLOAD PLAYSTORE ZIPO.
 
Ilihifadhi kwenye cloud storege gani?
Dropbox? Box? Icloud? Google drive au?
 
Google drive na Gmail ni vitu tofauti so unaposema hauzioni kwenye email haileti maana. Ulizupload file zako kwenye Google Drive? Au uliweka automatic upload?
Kama uliupload basi utazipata https://www.google.com/drive/
 
Shukrani mkuu kwa kunifungua, ngojea niifuate hiyo link nione ntaleta mrejesho
 
Google drive na Gmail ni vitu tofauti so unaposema hauzioni kwenye email haileti maana. Ulizupload file zako kwenye Google Drive? Au uliweka automatic upload?
Kama uliupload basi utazipata https://www.google.com/drive/
nimefanikiwa ku-download app ya Google Drive play store nikajisajili kwa email niliyotumia kuhifadhi hayo mafaili, shukrani sana kiufupi nimesolve hitaji langu
 
Wakuu!! Mimi ni mhitaji mwingine Ninaomba. Msaada wenu, siku za nyuma nilikuwa natumia simu aina ya samsung galaxy s3, na ilikuwa imesheheni vitu vyangu kibao nilivyovipenda sana, ile simu ilikuja kufa kabisa! Beyond repair,kwa sasa natumia BlackBerry Q10, nimejaribu kutafuta njia ya kuyarudisha ma faili yangu yaliyokuwa kwenye hiyo Android device lakini nimekwama!! Msaada please.
 
Ilihifadhi kwenye cloud storege gani?
Dropbox? Box? Icloud? Google drive au?
hizo ndio best cloud storage right now ila kuna vitu zina bagua sana mfano kwa wale wanaotumia drive.google.com huwezi kuweka cracker au software ambayo google hawataki watu wao watumie ( Tubemate, whatsapp GB) na nyingine

ukiona umeweka kituchako hukioni hilo ndio tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…