Msaada kubadili lugha ya Kijapan na bluetooth connection kwenye radio Toyota crown

Jemedaree

JF-Expert Member
Nov 22, 2021
676
2,021
Habari

Poleni na majukumu

Watalam naomba kuuliza

Je inawezekana kubadili lugha kutoka kijapan-kingereza

Na je inawezekana kuconnect Bluetooth na simu?

Anayejua msaada tafadhali

Gari ni Toyota Crown Athlete GR182

IMG_3287.jpg
 
2019 Wakat nachukua gari hapo beforward nakuta lugha ni japan wale vijana wa pale wanasema tukubadilishie sijui kwa sh. 30k nikasema hapana nimesafirisha gar hado mkoa kesho yake nikaingia playstore nikatafuta translator app nikawa naelekezea kwenye radio then nkaelewa nikachange so fuata hiyo njia
 
Back
Top Bottom