kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,514
- 7,953
Azima ushushe hilo file usisahau kufungua account kweny hyo site nlokupa ndio utaweza kudownload pia bando uwe nalo kama 2gb hivi.Laptop naweza kuazima kwa mtu haina shida sana
Azima ushushe hilo file usisahau kufungua account kweny hyo site nlokupa ndio utaweza kudownload pia bando uwe nalo kama 2gb hivi.Laptop naweza kuazima kwa mtu haina shida sana
Ok ngoja nifanya hivyo nikimaliza nitakujuzaAzima ushushe hilo file usisahau kufungua account kweny hyo site nlokupa ndio utaweza kudownload pia bando uwe nalo kama 2gb hivi.
Yaaa inajibu system iko modfiedUkienda settings ukafanya update online inagoma?
Nadhani ina custom rom,Yaaa inajibu system iko modfied
Hiyo link iko wap sasaUsije Ukatobolewa Pesa Yako Nyingi na wadau Humu ..
Fuata Hii link Jiunge na Hili Group la Whatssapp ..Linaitwa Adroid Experence. Ukifika Kumbusha Swali lako na Utasaidiwa Effectively.