HABARI WAKUU.
King'amuzi changu cha Azam kimepoteza signal toka jana,nimeangalia Dish liko vzuri sasa naomba msaada nifanyaje? Kunautaalam gani kwenye dish wa kufanya maana nimeangalia nimeona namba km zinaonesha angle hivi...LB itakua na tatizo au Dish?