Kuhusu wamilik. Sana sana nchi zile zenye kura ya VETO wanamiliki silaha za Nuclear ingawa pia kuna mataifa kama India, Pakistan na Israeli pia wanazo na Korea Kaskazini.
Nchi kama Korea zinazuiiwa kwa sababu haziaminiki zinaweza tumia muda wowote ule hata kwa ishi ndogo.
Marekani ukiacha Vita kuu ua pili ya Dunia hajawahi rusha Nuclear hata moja baada ya hapo.
Silaha za Nuclear ni za hatari sana kwa sababu Vita yoyote itakayo husisha Nuclear huenda ikawa ndo mwisho wa Human Civilisation,
Vita ya Nuclear haina mshindi, so sio vita za kushabikia kamwe