Msaada: Jinsi ya kupunguza wivu na hisia mbaya

Jimmy George

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
1,733
1,648
Habari wana JF,

Ninaomba mnisaidie nimejikuta siku hizi nimekuwa nina wivu sana juu ya mpenzi wangu na hata muda mwingine huwa nakuwa nawaza vibaya juu yake kama vile kuhisi ana mtu muda fulani au hata kuhisi ananisaliti hata kama si kweli na hii inapelekea nakuwa nakosa mpaka raha.

Naomba mnisaidie ni jinsi gani naweza kuepukana na hali hii ili niwe na amani hata akiwa mbali nami.
 
Mpaka hapa sina stress mpaka huwa nampa ruhusa kutafuta mwingine

Akili zangu nazijuaga mwenyewe tu mwingine ataniita mwendawazim
 
Kaka mimi nilkuwaga na wivu but niko busy na kusaka mahea kwenda tour yani siku nikiona kanitibua naenda zangu Moro just to refresh na kuagalia opportunities mbali mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…