Msaada jinsi ya kupata mashine ya EFD kwa sisi tulioko Mikoani

Acha Dhambi

Senior Member
Oct 19, 2010
145
41
Naomba msaada jinsi ya kupata mashine ya EFD kwa sisi tulioko Mikoani. Nina photocopier kuna kazi za shule wanadai uwe na EFD
 
Naomba msaada jinsi ya kupata mashine ya EFD kwa sisi tulioko Mikoani. Nina photocopier kuna kazi za shule wanadai uwe na EFD
Ninaomba uni pm nikupe watu wa kukusaidia kukusajili na kukuletea machine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…