Msaada: Jinsi ya kudownload movies mpya kwenye simu

hamjunior

Senior Member
Nov 4, 2016
102
37
Habari zenu wapendwa humu ndani,

Mwenye ujuzi au utaalamu wa kushusha new movie kwenye simu za android anisaidie maana kuna movie naitafuta sana.

Plesae naombeni msaada wenu.
 
Tumia UCWEB browser, ina option ya ku-play or download
 
Kama unataka movie HD pamoja na series HD kuna application inaitwa VIDEODER. Download latest maana kuna sites wameongeza inaitwa GOmovies ipo poa sana. Inakupa option ya kuchagua ukubwa wa movies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…