Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana yaani ukichukua domo la diamond, tifah na Nilan ndio unapata domo langu.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Utakuwa umemtamani tuu huja mpenda,
Ebu ongea ukweli wako kijana ;umempenda au umemtamani
 
Back
Top Bottom