Msaada: Gharama za kuunganisha umeme

Nahitaji kuweka umeme kwenye kibanda changu cha vyumba viwili,panaitaji nguzo . Moja,jeitakuwa nikiadi gani?
 
mjini ni 516,000

vijiji ni laki tatu na kitu hizo nigharama za kulipia tanesco.tu
 
Mwenye kujua gharama ya Kufungiwa Umeme wa 3Phase.

Kiasi gani pamoja na nguzo moja.
 
Inategemea na umbali(urefu). Pia inategemea upo gani pi
Kwa mfano Lindi na mtwara Ni 90000
Kama hapahitaji nguzo (wilayani)
SHINYANGA 300000 nakitu
Wilayani 177000
Rea umeme vijijini 27000 (Vat)
Kwaiyo mkuu bajeti yako weka nyongeza
Panaweza kuwa na umbali tofauti
Nb: Mimi sio staff wa tanesco nakushauli hence ofisini kwao.
 
Huku hautapata majibu yanayieleweka cha msingi uende tanesco
 
Si ukimbie ofisi za TANESCO walioko karibu na wewe upate majibu sahihi kuliko haya hapa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…