Msaada gari kuvuta upande

Arsenalist1

Senior Member
Jul 13, 2015
163
49
Wakuu natumai Mpo salama salimiin...gari yangu inavuta upande moja kwa mda mrefu sasa.. Nimepeleka wheel alignment wanakula hela wanasema iko sawa ila tatizo Mm naona bado lipo..tatizo inaweza kua nn? Toyota raum
 
Kama inavuta ukitumia brakes basi tatizo ni brakes. Wakati mwingine ni uchakavu/ kuisha kwa matairi, hasa unapoendesha na kama unaacha kuushika usukani, unaona usukani unajizungusha kuelekea upande mmoja wapo.
 
1:Tazama pressure ya matairi
2: Wheel alignment and tracking
3: Brakes kama inatokea kwenye kuisimamisha
Nenda katengeze itakupotezea maisha na barabara zetu hizi zimejaa mchanga
 
Nunua Treni achana na Magari. Hilo gari kalitumia Babu yako,Baba yako hadi sasa wewe mjukuu... Kama Godoro
 
Asante...
 
1:Tazama pressure ya matairi
2: Wheel alignment and tracking
3: Brakes kama inatokea kwenye kuisimamisha
Nenda katengeze itakupotezea maisha na barabara zetu hizi zimejaa mchanga
Pressure saws... Wheel alignment nimefanya bad lipo
 
Kama inavuta ukitumia brakes basi tatizo ni brakes. Wakati mwingine ni uchakavu/ kuisha kwa matairi, hasa unapoendesha na kama unaacha kuushika usukani, unaona usukani unajizungusha kuelekea upande mmoja wapo.
Sio nikitumia brakes
 
Boss niambie ni gari gani au nature yake tu mi ntakusaidia maana ni mzoefu kidogo
 
Usifanye alignment za kamba.. Kachek vzr alignment yako, Kama iko vzr,.. Angalia adjustment ya brakes, usikute upande mmoja pads zinagusa kwenye disc...
Angalia pia tofauti ya uchakavu wa Matairi ya gari..... Angalia shockabsorber za mbele.... Angalia pia steering damper, hii kama imechoka ni tatizo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…